EXCLUSIVE: SALAMBA Kuondoka SIMBA SC / Kucheza Soka Nje!

 • Uploaded on

  EXCLUSIVE: SALAMBA Kuondoka SIMBA SC / Kucheza Soka Nje!

  Mshambuliaji wa klabu ya SIMBA SC Adam Salamba ameweka wazi ishu ya yeye kuondoka katika timu yake hiyo na kwenda kucheza soka laku lipwa Nje ya Nchi ilii kuweza kuimarisha kiwango chake licha ya hayo Pia amesema kuwa licha yakutambuwa anapata wakati mgumu katika kikosi hicho cha Simba ilaa anafurahiya maisha katika timu hiyo.

  hata hivyo Salamba amesema anaukubali sana uwezo wa mshambuliaji waki tanzania ambaye anacheza soka lakulipwa nchini Ubeligiji katika klabu ya KRC Genk.

  #ADAMSALAMBA #SIMBASC

  https://www.youtube.com/wat...... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website:

  www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

  Channel Global TV Online

Download Links

TAGS:

Youtube Hatena . Webry . bd . Tripod . Addto . So-net . Gamer . Google+ . images . ucz . hawaii . nla . dot . bts . ed . dhs . weather